// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
OKWI BAADA YA KUZIMIA TAIFA LEO SIMBA NA AZAM - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINEOKWI BAADA YA KUZIMIA TAIFA LEO SIMBA NA AZAM - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
Mshambuliaji wa Simba SC, Emmanuel Okwi akiwa amezimia Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, baada ya kugongana ba beki wa Azam FC, Aggrey Morris katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara uliomalizika kwa sare ya 1-1. Okwi alianza kuifungia Simba SC kabla ya Kipre Tchetche kuisawazishia Azam FC.
Anapelekwa kwenye Ambulance akimbizwe hosptali ya taifa, Muhimbili.
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment