James Milner akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Manchester City bao la kusawazisha ikitoka nyuma na kushinda 2-1 katika Raundi ya Tatu ya Kombe la FA kabla ya yeye mwenyewe kufunga la ushindi dhidi ya Sheffield Wednesday. Milner amefunga mabao hayo katika siku ambayo iliwa anatimiza mkiaka 29 ya kuzaliwa.
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2896254/Manchester-City-2-1-Sheffield-Wednesday-James-Milner-rescues-Manuel-Pellegrini-replay-two-goals-FA-Cup-win.html#ixzz3Ntc5xnIA
0 comments:
Post a Comment