Conor McGregor akimtandika kifuti Dennis Siver katika pambano lao la jana la uzito wa Feather mjini Boston, England. McGregor alishinda raundi ya pili na baadaye akashuka ulingoni kutaka kuzipiga 'kavi kavu' na bingwa Jose Aldo, ambaye wanaweza kukutana ulingoni baadaye mwaka huu mjini Dublin.
B/R Awards: Ranking Cody Rhodes vs. Roman Reigns and the 10 Best WWE
Matches of 2024
-
The year that was 2024 brought with it some superb in-ring action in WWE.
Championships changed hands, feuds came to bitter ends, tournaments churned
out…
44 minutes ago
0 comments:
Post a Comment