// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MBEYA CITY WALIVYOMFANYA KITU MBAYA KOCHA WA SIMBA JANA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MBEYA CITY WALIVYOMFANYA KITU MBAYA KOCHA WA SIMBA JANA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Thursday, January 29, 2015

    MBEYA CITY WALIVYOMFANYA KITU MBAYA KOCHA WA SIMBA JANA

    Kocha wa Simba SC, Mserbia Goran Kopunovic jana baada ya timu yake kufungwa bao la pili na Mbeya City katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara ikilala 2-1 Uwanjwa Taifa, Dar es Salaam. Hakika Mserbia huyo alionyesha dalili zote za kuvurugikiwa na kipigo hicho. Hapa, anatafuta kitu huko nyuma, au anachomekea. mimi na wewe hatujui.
    Ni maumivu ya kichwa, au jicho? Hapana, ni kipigo cha Mbeya City
    Picha ya kushoto kama anataka kuvua kizibao, katikati kazubaa, kulia nywele zinawasha. Hapana chezea Mbeya City.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MBEYA CITY WALIVYOMFANYA KITU MBAYA KOCHA WA SIMBA JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top