Eljero Elia (kulia) wa Southampton akimlamba chenga Antonio Valencia (kushoto) wa Manchester United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku huu Uwanja wa Old Trafford. Southampton walishinda 1-0 bao pekee la Dusan Tadic dakika ya 69.
Kiungo Mkenya, Victor Wanyama (kulia) wa Southampton akimkabili Wayne Rooney wa Manchester United
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2905569/Manchester-United-0-1-Southampton-Substitute-Dusan-Tadic-hits-winner-high-flying-Saints-overtake-United-Premier-League-table.html#ixzz3OXO8eSCf
0 comments:
Post a Comment