Beki wa Manchester City, Bacary Sagna akimtoka mchezaji wa Hamburg, Innocent Emeghara katika mchezo wa kirafiki leo baina ya timu hizo Uwanja wa Etihad. City ilishinda 2-0, mabao ya Stevan Jovetic dakika ya 50 na Edin Dzeko dakika ya 74.
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2920356/Manchester-City-2-0-Hamburg-Stevan-Jovetic-Edin-Dzeko-Manuel-Pellegrini-s-men-friendly-victory-United-Arab-Emirates.html#ixzz3PUAGfmRe
0 comments:
Post a Comment