Fabio Borini akiifungia Liverpool bao la kwanza katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Aston Villa Uwanja wa Villa Park leo mchezo wa Ligi Kuu ya England. Bao lingine la Liverpool lilifungwa na Rickie Lambert.
Kipa wa Villa, Guzan akishuhudia mpira ukitinga nyavuni
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2914540/Aston-Villa-0-2-Liverpool-Fabio-Borini-Rickie-Lambert-score-home-fail-net-fifth-Premier-League-game-row.html#ixzz3P6c0Yy71
0 comments:
Post a Comment