Mshambuliaji wa Bolton Wandersr, Emile Heskey akienda juu kuwania mpira dhidi ya Emre Can wa Liverpool katika mchezo wa Kombe la FA, England Raundi ya Nne. Timu zilitoka sare ya 0-0, Liverpool wakikosa penalti iliyopigwa na Jordan Henderson, baada ya Matt Mills kumgonga Lazer Markovic kwenye boksi.
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2924835/Liverpool-0-0-Bolton-Wanderers-Emile-Heskey-handed-chance-knock-former-club-FA-Cup.html#ixzz3PmaxJ64L
0 comments:
Post a Comment