BAO la dakika ya 87 la Bifouma Koulossa limeinusuru Kongo kulala mbele ya wenyeji Equatorial Guinea katika mchezo wa ufunguzi wa Kundi A Kombe la Mataifa ya Afrika mjini Bata leo.
Nsue Lopez alitangulia kuwafungia wenyeji dakika ya 16 na ilibaki kidogo Equatorial Guinea waanze na ushindi.
Mechi ijayo, Equatorial Guinea watamenyana na Burkina Faso, wakati Kongo itaivaa Gabon mjini Bata Januari 21.

0 comments:
Post a Comment