Mshambuliaji wa Barcelona, Neymar akiwa amebebwa kwenye machela baada ya kuumia kifundo cha mguu, kufuatia kugongana na beki wa Atletico Madrid, Jose Gimenez katika mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Camp Nou. Barca ilishinda 3-1.
Neymar alitokwa damu katika sehemu aliyogongwa na Gimenez mguu wa kulia
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2905723/Neymar-left-bloodied-ankle-Barcelona-s-match-against-title-rivals-Atletico-Madrid.html#ixzz3OZSrlBWJ
0 comments:
Post a Comment