// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); JICHO LA KAZI, KOCHA WA MARREIKH 'AKIWAPIGA CHABO' AZAM ZANZIBAR - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE JICHO LA KAZI, KOCHA WA MARREIKH 'AKIWAPIGA CHABO' AZAM ZANZIBAR - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Monday, January 05, 2015

    JICHO LA KAZI, KOCHA WA MARREIKH 'AKIWAPIGA CHABO' AZAM ZANZIBAR

    Kocha wa El Merreikh ya Sudan, Burhan Tia akiwa jukwaani Uwanja wa Amaan, Zanzibar Jumapili kufuatilia mchezo wa Kundi B Kombe la Mapinduzi, kati ya Azam FC na KMKM. Azam FC ilishinda 1-0. Kocha huyo amekuja Zanzibar kuwachunguza wapinzani wao katika Raundi ya Awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Azam FC.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: JICHO LA KAZI, KOCHA WA MARREIKH 'AKIWAPIGA CHABO' AZAM ZANZIBAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top