Kiungo wa zamani wa kimataifa wa Ufaransa na mshindi wa Kombe la Dunia 1998, Christian Karembeu (kushoto) akimkabidhi James Rodriguez tuzo ya Bao Bora la Mwaka, maarufu kama Puskas usiku huu mjini Zurich, Uswisi. Mshambuliaji huyo wa Real Madrid amewapiku Stephanie Roche na Robin van Persie.
Rodriguez akiwasili na mkewe Daniela Ospina
0 comments:
Post a Comment