TIMU ya taifa ya Ivory Coast imenusurika kulala mbele ya Guinea, baada ya kupata dare ya 1-1 katika mchezo wa Kundi D Fainali za Mataifa ya Afrika leo.
Seydou Doumbia aliyetokea benchi ndiye aliyewanusuru Tembo kulala baada ya kufunga bao la kusawazisha dakika ya 72, kufuatia Mohammed Yattarakutangulia kuwafungia Guinea dakika ya 36 mjini Malabo.
Mkombozi; Seydou Doumbia ametokea benchi na kuifungia Ivory Coast bao la kusawazisha dakika za lala salama
Ivory Coast ilipata pigo katika mchezo huo, baada ya mshambuliaji wake, Gervinho kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 58.
Kikosi cha Guinea kilikuwa: N. Yattara, Is Sylla, Pogba, F Camara, Sankoh, Keita, Fofana, Constant, Conte, Traore na M. Yattara/Abdoul Camara dk67.
Ivory Coast: Gbohouo, Aurier, K. Toure, Bailly, Kanon, Serey Die/Tiene dk64, Tiote, Y. Toure/Doukoure dk86, Kalou/Doumbia dk64, Bony na Gervinho.

0 comments:
Post a Comment