Kiungo wa zamani wa Manchester United, Paul Pogba anayechezea Juventus ya Italia kwa sasa, akipambana na Hugo Campagnaro wa Inter Milan katika mchezo wa Serie A usiku wa jana Uwanja wa Juventus. Timu hizo zilitoka sare ya 1-1, Carlos Tevez akitangulia kuifungia Juve dakika ya tano, kabla ya Mauro Icardi kuisawazishia Inter Milan dakika ya 64.
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2899558/Juventus-1-1-Inter-Milan-Carlos-Tevez-Mauro-Icardi-scoresheet-Lukas-Podolski-makes-debut-subs-bench.html#ixzz3O6tDclvC
0 comments:
Post a Comment