Beki wa Polisi akimpiga 'roba' mshambuliaji wa Simba SC, Simon Sserunkuma katika mchezo wa Nusu Fainali Kombe la Mapinduzi usiku wa leo Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Simba SC ilishinda 1-0.
|
Alianza kwa kumuwekea 'konga' asipite, lakini alipoitwa ndio akakaba roba. Refa aliamuru upigwe mpira wa adhabu na Ramadhani Singano 'Messi' akaifungia Simba SC bao la ushindi. |
0 comments:
Post a Comment