Winga wa Manchester United, Muargentina Angel di Maria akishangilia baada ya kuwafungia Mashetani hao Wekundu bao la pili dakika ya 89 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Yeovil Town mchezo wa Kombe la FA, Bao lingine la United lilifungwa na Ander Herrera dakika ya 64 na United imetinga Raundi ya nne ya michuano hiyo. Di Maria amerejea uwanjani baada ya kuwa nje kwa muda mrefu sababu ya majeruhi.
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2896344/Yeovil-Town-0-2-Manchester-United-Ander-Herrera-wonder-strike-sees-Louis-van-Gaal-s-advance-FA-Cup.html#ixzz3NtJLgetW
0 comments:
Post a Comment