Mshambuliaji wa Chelsea, Loic Remy (kulia) akipambana na mchezaji wa Watford, Daniel Pudil (katikati) katika mchezo wa Kombe la FA Raundi ya Tatu Jumapili Uwanja wa Stamford Bridge. The Bluse walishinda 3-0, mabao yao yakifungwa na Remy, Willian na Kurt Zouma.
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2896267/Chelsea-3-0-Watford-Willian-Loic-Remy-Kurt-Zouma-target-Jose-Mourinho-s-reach-FA-Cup-fourth-round.html#ixzz3Ntdluakz
0 comments:
Post a Comment