// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); CAMEROON NAYO YANUSURIKA KWA MALI, DROO 1-1 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE CAMEROON NAYO YANUSURIKA KWA MALI, DROO 1-1 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Wednesday, January 21, 2015

    CAMEROON NAYO YANUSURIKA KWA MALI, DROO 1-1

    Wachezaji wa Cameroon, wakimpongeza mwenzao, Ambroise Oyongo baada ya kuwafungia bao la kusawazisha dakika za mwishoni katika sare ya 1-1 na Mali, mchezo wa Kundi D Kombe la Mataifa ya Afrika mjini Tuesday usiku huu. Bao la Mali lilifungwa na Sambou Yatabare kipindi cha pili pia.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: CAMEROON NAYO YANUSURIKA KWA MALI, DROO 1-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top