Mshambuliaji wa West Brmwich Albion, Saido Berahino akifumua shuti kuifungia timu yake bao la pili katika ushindi wa 7-0 dhidi ya Gateshead Kombe la FA England. Berahino alifunga mabao manne, mengine yakifungwa na Victor Anichebe, Chris Brunt na James Morrison, kocha mpya Tony Pulis akifurahia kuanza na ushindi katika mchezo wa kwanza baada ya kurithi mikoba ya Alan Irvine.
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2895386/West-Bromwich-Albion-7-0-Gateshead-Saido-Berahino-scores-hat-trick-Tony-Pulis-leads-Baggies-FA-Cup-fourth-round.html#ixzz3NmbTwPA8
0 comments:
Post a Comment