Kocha wa Bayern Munich, Pep Guardiola akisikitika baada ya timu yake kufungwa mabao 4-1 Wolfsburg wanaoshika nafasi ya pili katika Bundesliga jana. Bast Dost na Kevin De Bruyne kila mmoja alifunga mabao mawili Uwanja wa Volkswagen Arena, wakati bao la Bayern lilifungwa na Bernat. Wolves sasa wanazidiwa pointi nane na timu ya Pep Guardiola iliyo kileleni.
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2933703/Wolfsburg-4-1-Bayern-Munich-Wolves-stun-Pep-Guardiola-s-impressive-win-close-gap-Bundesliga-leaders.html#ixzz3QNYPn2RP
0 comments:
Post a Comment