BARCELONA wameifumua mabao 6-0 Elche katika mchezo wa La Liga usiku wa Jumamosi.
Mabao ya Barca yamefungwa na Gerard Pique dakika ya 36, Lionel Messi kwa penalti dakika ya 54 na 88, Neymar dakika ya 69 na 71 na Pedro dakika ya 90 na ushei.
Kikosi cha Elche kilikuwa; Tyton, Suarez, Roco, Pelegrin, Cisma/Albacar Gallego dk61, Gonzalez Morales, Rodriguez Lomban dk70, Pasalic, Rodriguez Romero, Fajr, Niguez Esclapez na Jonathas de Jesus.
Barcelona; Bravo, Montoya, Pique, Bartra, Alba/Busquets dk70, Xavi/Sergi dk72, Mascherano/Adriano dk70, Rafinha, Pedro, Messi na Neymar.
Kikosi cha Barcelona kilichofanya mauaji dhidi ya Elche Jumamosi
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2924749/Elche-0-6-Barcelona-Lionel-Messi-Neymar-strike-doubles-pressure-Real-Madrid.html#ixzz3PmZEXgl6
0 comments:
Post a Comment