// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); BAO WALILOKOSA KAGERA SUGAR LEO VIGUMU KUAMINI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BAO WALILOKOSA KAGERA SUGAR LEO VIGUMU KUAMINI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Tuesday, January 20, 2015

    BAO WALILOKOSA KAGERA SUGAR LEO VIGUMU KUAMINI

    Mshambuliaji wa Kagera Sugar, Rashid Mandawa akiruka kupiga kichwa kuelekeza nyavuni, huku kipa wa Azam FC, akiwa amepoteana na mpira katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. Azam FC ilishinda 3-1.
    Hata beki wa Azam FC, aliwahi kuokoa mpira huo kabla haujavuka mstari, na kufanya Kagera wakose bao la wazi wakati huo wakiwa nyuma kwa mabao 2-0
     Tayari Azam FC wameondosha mpira katika hatari, Kagera walikosa bao la wazi  mno.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BAO WALILOKOSA KAGERA SUGAR LEO VIGUMU KUAMINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top