Kikosi cha Azam FC kitamemyana na wenyeji wao TP Mazembe kuanzia Saa 10:00 jioni leo Lubumbashi
Na Mwandishi Wetu, LUBUMBASHI
MABINGWA wa Tanzania Bara, Azam FC watamemyana na mabingwa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Azam, FC Uwanja wa TP Mazembe mjini Lubumbashi leo.
Mchezo huo utaanza Saa 10:00 jioni kwa saa za DRC na Saa 11:00 kwa Saa za Tanzania na unatarajiwa kurushwa ‘live’ na Televisheni ya Azam.
TP Mazembe imeandaa mashindano maalum mafupi yanayochezwa kwa mtindo wa Ligi, yakishirikisha timu nne, mbili kutoka nje ya Kongo, ambazo ni Azam FC na ZESCO United ya Zambia, wote mabingwa wan chi zao.
Timu nyingine zinazoshiriki mashindano hayo ni
TP Mazembe na CS Don Bosco ya Kinshasa na mechi zinatarajiwa kuchezwa kwa siku tatu, kuanzia leo (Januari 28), Jumamosi ya Januari 31 na Jumanne ya Februari 3.
Kila siku zitachezwa mechi mbili, za kwanza Saa 8:00 mchana na za pili Saa
0 comments:
Post a Comment