Kiungo wa Azam FC, Frank Domayo (kushoto) akimtoka mchezaji wa Mtende katika mchezo wa Kundi B, Kombe la Mapinduzi jana Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Azam FC ilishinda 1-0. |
Kiungo wa Azam FC, Kevin Friday akimtoka mchezaji wa Mtende |
Mshambuliaji wa Azam FC, John Bocco akiwania mpira dhidi ya beki wa Mtende |
Mshambuliaji wa Azam FC, Didier Kavumbangu akitafuta maarifa ya kumtoka beki wa Mtende |
Beki wa Azam FC, Erasto Nyoni akimtoka beki wa Mtende |
Kiungo wa Azam FC akimuacha chini mchezaji wa Mtende baada ya kumlamba chenga |
0 comments:
Post a Comment