Kiungo wa Azam FC, Mudathir Yahya (kushoto) akipambana na wachezaji wa KCCA katika mchezo wa Kundi B, Kombe la Mapinduzi jana Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Timu hizo zilitoka sare ya 2-2. |
Mshambuliaji wa Azam FC, John Bocco akipambana na beki wa KCCA |
Kiungo wa Azam FC, Himid Mao akimtoka beki wa KCCA |
Kiungo wa Azam FC, Amei Kiemba akijaribu kupasua katikati ya wachezaji wa KCCA |
Kiungo wa Azam FC, Salum Abubakar 'Sure Boy' akimlamba chenga mchezaji wa KCCA |
0 comments:
Post a Comment