// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); ASAMOAH GYAN AING'ARISHA GHANA, YAILAZA 1-0 ALGERIA AFCON - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE ASAMOAH GYAN AING'ARISHA GHANA, YAILAZA 1-0 ALGERIA AFCON - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Friday, January 23, 2015

    ASAMOAH GYAN AING'ARISHA GHANA, YAILAZA 1-0 ALGERIA AFCON

    Mshambuliaji wa Ghana, Asamoah Gyan akishangilia baada ya kuifungia bao pekee la ushindi Black Stars ikiilaza 1-0 Algeria Uwanja wa Mongomo, Equatorial Guinea katika mchezo wa Kundi C Kombe la Mataifa ya Afrika leo.  Ushindi huo umefufua matumaini ya Ghana iliyofungwa 2-1 katika mchezo wa kwanza na Senegal kutinga hatua ya mtoano. Itacheza mechi ya mwisho na Afrika Kusini. 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ASAMOAH GYAN AING'ARISHA GHANA, YAILAZA 1-0 ALGERIA AFCON Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top