Andy Murray akishangilia baada ya kutoka nyuma na kumshinda Tomas Berdych kwa seti 3-1 (6-7, 6-0, 6-3, 7-5) katika Nusu Fainali ya michuano ya Australian Open jana iliyodumu kwa takriban muda wa saa tatu na nusu. Murray sasa atakutana na ama Novak Djokovic au Stanislas Wawrinka katika Fainali Jumapili mjini Melbourne.
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/tennis/article-2931098/Andy-Murray-recovers-set-secure-passage-fourth-Australian-Open-final-beating-Tomas-Berdych-four.html#ixzz3QHc7OoVG
0 comments:
Post a Comment