
Saturday, January 31, 2015

JAMHURI ya KIdemokrasia ya Kongo (DRC) imetoka nyuma na kushinda 4-2 dhidi ya jirani zao, Kongo-Brazzaville mjini Bata, Equatorial Guinea h...
DOMAYO AFUNGA YOTE MAWILI AZAM IKITOA 2-2 NA ZESCO UNITED
Saturday, January 31, 2015
AZAM FC imelazimishwa sare ya kufungana mabao 2-2 ma ZESCO United ya Zambia katika mchezo wa kirafiki, Uwanja wa TP Mazembe mjini Lubumba...
MAN CITY CHUPUCHUPU KUZAMA KWA CHELSEA
Saturday, January 31, 2015
CHELSEA imelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Manchester City katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Stamford Bridge, London...
BAHANUZI AZIDI KUNG’ARA POLISI MORO, AWAANGAMIZA MBEYA CITY JAMHURI LEO
Saturday, January 31, 2015
Na Mwandishi Wetu, MOROGORO MSHAMBULIAJI Said Rashid Bahanuzi (pichani kulia) anayecheza kwa mkopo Polisi Moro, leo amefunga bao lake la...
BENZEMA APIGA MBILI REAL MADRID IKIMUADHIBU MOYES 4-1
Saturday, January 31, 2015
REAL Madrid imeichapa mabao 4-1 Real Sociedad inayofundishwa na kocha wa zamani wa Manchester United, David Moyes katika mchezo wa La Lig...
LIVERPOOL YATAKATA ENGLAND, YAICHAPA WEST HAM 2-0
Saturday, January 31, 2015
MSHAMBULIAJI Daniel Sturridge amerejea kwa kishindo kutoka kwenye maumivu yake akiifungia Liverpool bao la pili katika ushindi wa 2-0 d...
SHETANI LANYONYA MTU DAMU, MAN UNITED YAUA 3-1 ENGLAND
Saturday, January 31, 2015
MANCHESTER United imeendelea kuonyesha uhai katika Ligi Kuu ya England baada ya jioni ya leo kuifumua mabao 3-1 Leicester City Uwanja wa O...
SERENA WILLIAMS AMSHINDA MARIA SHARAPOVA NA KUIINUA 'NDOO' YA AUSTRALIAN OPEN
Saturday, January 31, 2015
NYOTA wa tenisi, Serena Williams amefanikiwa kushinda taji la sita la Australian Open baada ya kumfunga Maria Sharapova kwa seti zote, 6-3...
SSERUNKUMA ATULIZA UPEPO SIMBA SC, APIGA ZOTE MBILI MNYAMA AKIITAFUNA JKT RUVU
Saturday, January 31, 2015
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM MABAO mawili ya mshambuliaji wa kimataifa wa Uganda, Dan Sserunkuma jioni ya leo yametuliza hali ya hewa...
BINGWA KOMBE LA TAIFA WANAWAKE KUPATA SH MILIONI 3
Saturday, January 31, 2015
Na Boniface Wambura, DAR ES SALAAM BINGWA wa michuano ya Kombe la Taifa Wanawake, inayodhaminiwa na kampuni ya Proin na atapata Kombe na f...
LAVEZZI AING'ARISHA PSG LIGUE 1, YAICHAPA1-0 RENNES
Saturday, January 31, 2015
Mshambuliaji Muargentina, Ezequiel Lavezzi akikimbia kushangilia baada ya kuifungia bao pekee PSG katika uahindi wa 1-0 dhidi ya Ren...
BAYERN MUNICH YAFUMULIWA 4-1 BUNDESLIGA, GUARDIOLA KILIO!
Saturday, January 31, 2015
Kocha wa Bayern Munich, Pep Guardiola akisikitika baada ya timu yake kufungwa mabao 4-1 Wolfsburg wanaoshika nafasi ya pili katika B...
SIMBA SC KATIKA MTIHANI MZITO LEO
Saturday, January 31, 2015
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM LIGI Kuu ya Vodacom Tanzania Bara inatarajiwa kuendelea leo, huku vigogo Simba SC wakiwa wenyeji wa JKT ...
ILIVYO NGUMU MAN CITY KUSHINDA MECHI BILA YAYA TOURE, CHELSEA KUJILIA PWEZA KIZANI LEO?
Saturday, January 31, 2015
KLABU ya Chelsea itawakosa nyota wake Diego Costa na Cesc Fabregas katika mechi ya Ligi Kuu ya England dhidi ya Manchester City leo, lakin...
Friday, January 30, 2015
FRIENDS RANGERS YAPOTEZA MECHI KWA KUGOMA
Friday, January 30, 2015
MECHI namba 120 ya Ligi Daraja la Kwanza (FDL) kundi A kati ya Majimaji na Friends Rangers iliyochezwa jana (Januari 29 mwaka huu) Uwanja...
CHELSEA KUMKOSA DIEGO COSTA DHIDI YA MAN CITY KESHO, AFUNGIWA MECHI TATU NA FA
Friday, January 30, 2015
KLABU ya Chelsea itamkosa mkali wake wa mabao Diego Costa kesho katika mechi ya kuwania usukani wa Ligi Kuu ya England, dhidi ya mabingwa ...
NI DJOKOVIC NA ANDY MURRAY FAINALI AUSTRALIAN OPEN WANAUME 2015
Friday, January 30, 2015
Novak Djokovic akipeana mikono na Stan Wawrinka baada ya kumfunga katika Nusu Fainali ya Australian Open leo kwa seti 3-2 (7-6, 3-...
FERRARI YATAMBULISHA 'MCHUMA' MPYA WA FORMULA ONE HATARI TUPU
Friday, January 30, 2015
KAMPUNI ya Ferrari imetambulisha gari yake mpya ambayo wana matumaini itawang'arisha Sebastian Vettel na Kimi Raikkonen katika Formula...
ARSENAL YAMKATAA TIOTE, WENGER ASEMA ANATAKA MKALI ZAIDI
Friday, January 30, 2015
KLABU ya Arsenal imekataa ofa ya kumsajili kiungo wa Newcastle, kiungo Cheick Tiote. The Gunners wamepewa ofa ya kumsajili kiungo huyo w...
SERIKALI YAAPA KUISHIKA KWA MIKONO MIWILI KILI MARATHON
Friday, January 30, 2015
Na Mwandishi Wetu, MOSHI SERIKALI mkoani Kilimanjaro imesema itaendelea kuunga mkono mashindano ya mbio za Kilimanjaro Marathon, kutokana ...
DK FENELLA MGENI RASMI FAINALI KOMBE LA TAIFA WANAWAKE
Friday, January 30, 2015
Na Princess Asia, DAR ES SALAAM WAZIRI wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk Fenella Mukangara anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika F...
NGOMA INOGILE MATAIFA YA AFRIKA, NANI KUJISOGEZA KWA MWALI WIKIENDI HII?
Friday, January 30, 2015
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM FAINALI za Kombe la Mataifa ya Afrika kesho zinaingia katika hatua ya Robo Fainali, huku vigogo kama C...
ANDY MURRAY ATINGA FAINALI AUSTRALIAN OPEN WANAUME
Friday, January 30, 2015
Andy Murray akishangilia baada ya kutoka nyuma na kumshinda Tomas Berdych kwa seti 3-1 (6-7, 6-0, 6-3, 7-5) katika Nusu Fainali...
SAMATTA AREJEA LUBUMBASHI, ATETA NA BOSI WA AZAM FC
Friday, January 30, 2015
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM MSHAMBULIAJI Mbwana Ally Samatta amerejea jana mjini Lubumbashi kuendelea na maisha chini ya utawala wa ...
Subscribe to:
Posts (Atom)