Wachezaji wa Yanga SC wakiwa mazoezini jioni ya leo Uwanja wa Boko Veterani, kujiandaa na mchezo wa Nani Mtani Jembe dhidi ya mahasimu wao Simba SC, Jumamosi wiki hii Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. |
Kocha Mbrazil, Marcio Maximo akiwapa mawaidha wachezaji wake |
Wachezaji wa Yanga SC wakitafuta pumzi zaidi na kasi |
Kiungo Mbrazil, Emerson de Oliviera Roque akiruka vihunzi |
0 comments:
Post a Comment