Winga wa Yanga SC, Simon Msuva kulia akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Express ya Uganda, Ivan Sserunkuma katika mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga SC ilishinda 1-0. |
Kiungo wa Yanga SC, Haruna Niyonzima akimtoka beki wa Express, Hassan Wasswa |
Beki wa Yanga SC, Juma Abdul akimuacha chini beki wa Express, Ivan Sserunkuma |
Mshambuliaji wa Yanga SC, Mrisho Ngassa akimtoka beki wa Express, Emma Kalyowa |
Kiungo wa Yanga SC, Mbuyu Twite akiambaa na mpira kulia huku akibughudhiwa na Emma Kalyowa wa Express |
Kiungo Mbrazil wa Yanga SC, Andrey Coutinho akiambaa na mpira dhidi ya beki wa Express |
0 comments:
Post a Comment