Diafra Sakho wa West Ham United akifunia jezi yake kushangilia baada ya kufunga bao dakika ya 87 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Swansea City katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Boleyn Ground. Mabao mengine ya West Ham yamefungwa na Andy Carroll dakika ya 41 na 66, wakati bao pekee la Swansea limefungwa na Wilfried Bony dakika ya 19.
Jordi Amat wa Swansea akipambana na Andy Carroll wa West Ham
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2864345/West-Ham-3-1-Swansea-Andy-Carroll-returns-form-two-towering-headers-Diafra-Sakho-s-rocket-beat-10-man-City.html#ixzz3LEKetvNe
0 comments:
Post a Comment