Beki wa kulia wa Aston Villa, Alan Hutton akionyeshana undava na Paul Konchesky wa Leicester City katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Jumapili. Beki wa Leicester alitolewa kwa kadi nyekundu baada ya kumchezea rafu Hutton, Villa ikishinda 2-1, mabao yake yakifungwa na Ciaran Clark na Hutton, wakati la wapinzani wao lilifungwa na Leonardo Ulloa.
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2864411/Aston-Villa-2-1-Leicester-Paul-Lambert-s-come-beat-10-man-Foxes-unlikely-hero-Alan-Hutton-scores-winner.html#ixzz3LFkMeik0
0 comments:
Post a Comment