WACHEZAJI wa Manchester United wamerudi kwenye zama za raja na vituko kupitiliza.
Mshambuliaji Robin van Persie kwa furaha ya ushindi wa 2-1 dhidi ya Stoke City Jumanne, jana usiku akavalia wigi la kike kabisa na kupiga picha na wachezaji wenzake Marouane Fellaini na kipa wa akiba Anders Lindegaard.
Robin van Persie akiwa amevalia wifi kusherehekea Krisimasi na Anders Lindegaard na Marouane Fellaini
Radamel Falcao naye alikwenda kujirusha na mkewe mjamzito Lorelei Taron jana usiku
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2859978/Manchester-United-Christmas-party-Robin-van-Persie-share-happy-snaps-annual-celebration-Instagram.html#ixzz3Kttk12Zg
0 comments:
Post a Comment