BAO pekee la Frank Kalanda limeipa URA ushindi wa 1-0 dhidi ya Express katika mchezo wa Ligi Kuu ya Uganda jana Uwanja wa Mehta mjini Lugazi. Ushindi huo unawafanya Watoza kodi hao washinde mechi ya saba na ya tatu mfululizo, hivyo kufikisha pointi 23 na kujikita nafasi ya nne. Kwa Tai Wekundu wanashuka kwa nafasi moja hadi ya saba wakibaki na pointi zao 21 baada ya mechi 14. Mchezo mwingine jana mabingwa watetezi, KCC wamefungwa 1-0 na Lweza Uwanja wa Wankulukuku. Entebbe nayo ilishinda mechi yake ya pili jana UPL baada ya kuwachapa Rwenshama 2-1 Uwanja wa Nakivubo. Ali Adam na Hussein Mubiru walifunga mabao ya Entebbe, wakati Farouk Kalinzi aliwafungia wageni la kufutia machozi. Mabao mawili ya Umar Kasumba yameipa ushindi wa 2-0 Polisi dhidi ya Soana Uwanja wa Kavumba.
Kayla Rendell signs for United Women
-
The 23-year-old goalkeeper joins from Southampton, becoming our women's
team's first signing of the winter window.
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment