MKWAJU wa penalti wa Stephen Bengo kipindi cha kwanza umeipa pointi tatu SC Villa baada ya mabingwa hao mara 16 kuifunga Bright Stars 1-0 katika Ligi Kuu ya Uganda (UPL) viwanja vya Ssaza Grounds, Mityana jana. Huo unakuwa ushindi wa tisa katika mechi 14 kwa Villa, na kukifanya kikosi cha kocha Sam Ssimbwa kiindoe KCC katika nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi, kwa kufikisha pointi 30, ikizidiwa moja tu na vinara, Vipers. Kipigo hicho kinakuwa cha nne kwa timu ya Fred Kajoba, Bright Stars msimu huu, ambacho kinawafanya washuke kwa nafasi moja hadi ya nane wakibaki na pointi zao 20. Wenyeji walipata bao la kuongoza dakika ya 17 baada ya mchezaji wa Villa kutoka Nigeria, Victor Emenayo kuchezewa rafu kwenye eneo la hatari la Bengo akaenda kufunga
Kayla Rendell signs for United Women
-
The 23-year-old goalkeeper joins from Southampton, becoming our women's
team's first signing of the winter window.
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment