// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); SSERUNKUMA ALIVYOSHUHUDIA SIMBA IKIRARURIWA 4-2 NA MTIBWA CHAMAZI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE SSERUNKUMA ALIVYOSHUHUDIA SIMBA IKIRARURIWA 4-2 NA MTIBWA CHAMAZI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Monday, December 08, 2014

    SSERUNKUMA ALIVYOSHUHUDIA SIMBA IKIRARURIWA 4-2 NA MTIBWA CHAMAZI

    Mshambuliaji mpya wa Simba SC, Dan Sserunkuma (kushoto) akiwa na kocha Msaidizi wa Azam FC, George 'Best' Nsimbe kulia wakati Simba SC ikimenyana na Mtibwa Sugar ya Morogoro Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam Jumapili. Mtibwa ilishinda 4-2. Sserunkuma alitua siku hiyo tayari kuanza kazi Msimbazi akitokea Gor Mahia ya Kenya, kufuatia kusaini Mkataba wa miaka miwili.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SSERUNKUMA ALIVYOSHUHUDIA SIMBA IKIRARURIWA 4-2 NA MTIBWA CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top