Fundi utamjua tu; Kiungo wa Tottenham, Christian Eriksen (katikati) akimiliki mpira kifuani mbele ya Jack Colback wa Newcastle (kulia) katika mchezo wa Robo Fainali ya Kombe la La Ligi usiku wa jana. Spurs ilishinda 4-0 na kutinga Nusu Fainali, ambako itamenyana na Sheffield United.
Mshambuliaji Harry Kane akipambana na wachezaji wa Newcastle, Emmanuel Riviere (kushoto) na Moussa Sissoko (kulia). Mabao ya Spurs yalifungwa na Nabil Bentaleb dakika ya 18, Nacer Chadli dakika ya 46, Harry Kane dakika ya 65 na Roberto Soldado dakika ya 70.
0 comments:
Post a Comment