// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); SIMBA SC WALIVYOTUA ZENJI LEO KUSAKA DAWA YA KUIANGAMIZA YANGA SC JUMAMOSI TAIFA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE SIMBA SC WALIVYOTUA ZENJI LEO KUSAKA DAWA YA KUIANGAMIZA YANGA SC JUMAMOSI TAIFA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Monday, December 08, 2014

    SIMBA SC WALIVYOTUA ZENJI LEO KUSAKA DAWA YA KUIANGAMIZA YANGA SC JUMAMOSI TAIFA

    Kipa Ivo Mapunda akifuatiwa na mchezaji mwenzake wa zamani wa Gor Mahia, Dan Sserunkuma baada ya kikosi cha Simba SC kuwasili visiwani Zanzibar jioni ya leo kwa kambi ya wiki moja kujiandaa na mpambano wa Nani Mtani Jembe dhidi ya mahasimu wao, Yanga SC Jumamosi wiki hii Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
    Kocha Patrick Phiri kulia akiwa na mwenyeji wa Simba SC visiwani humo, Abdulhamid Mshangama

    Wachezaji wakipanda basi kuelekea kambini 

    Dan Sserunkuma katika viunga vya Unguja leo

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA SC WALIVYOTUA ZENJI LEO KUSAKA DAWA YA KUIANGAMIZA YANGA SC JUMAMOSI TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top