// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); SIMBA SC NA YANGA KATIKA PICHA JANA TAIFA MTANI JEMBE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE SIMBA SC NA YANGA KATIKA PICHA JANA TAIFA MTANI JEMBE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, December 14, 2014

    SIMBA SC NA YANGA KATIKA PICHA JANA TAIFA MTANI JEMBE

    Mshambuliaji wa Yanga SCm Kpah SHerman akimtoka beki wa Simba SC, Juuko Murushid katika mchezo wa Nani Mtani Jembe jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba ilishinda 2-0.
    Mshambuliaji wa Simba SC, Emmanuel Okwi kulia akimtoka beki wa Yanga SC, Juma Abdul 
    Kpah Sherman akipasua katikati ya Awadh Juma kulshoto na Ramadhan Singano 'Messi' kulia 
    Kpah Sherman akipasua katikati ya Hassan Isihaka kulia na Singano kushoto
    Kiungo wa Yanga SC, Emerson de Oliviera Roque katikati akimiliki mpira pembeni ya kiungo wa Simba Ramadhani Singano 'Messi'
    Wachezaji wa Simba na Yanga walisukumana mwanzoni tu mwa mchezo baada ya Emmanuel Okwi kuanguka
    Kiungo wa Yanga SC, Haruna Niyonzima akipambana na beki wa Simba SC, Juuko Murshid
    Viungo Awadh Juma wa Simba SC kulia na Emerson Roque wa Yanga SC wakichuana kuwania mpira wa juu

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA SC NA YANGA KATIKA PICHA JANA TAIFA MTANI JEMBE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top