Jeneza lililobeba mwili wa mcheza Kriketi Phillip Joe Hughes aliyefariki wiki iliyopita likiwasili mjini Macksville, nje kidogo ya Jiji la Sydney, Australia leo tayari kwa mazishi. Hughes alifariki dunia baada ya kugongwa na gongo la kuchezea Kriketi kichwani na Sean Abbott wakati akiichezea Australia Kusini katika mchezo wa Ngao ya Sheffield kwenye viwanja wa Kriketi Sydney.
South Sydney star Jack Wighton gets very special Christmas delivery
-
South Sydney rugby league star Jack Wighton got a very special Christmas
delivery when his wife Monisha gave birth to their fourth child.
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment