Wachezaji wa Simba SC wakisherehekea na Kombe lao la Nani Mtani Jembe walilolitwaa leo kwa mara ya pili mfululizo, baada ya kuifunga Yanga SC mabao 2-0 Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam |
Kiboko ya Yanga SC, wachezaji wa SImba SC wakifurahia na Kombe lao la ushindi wa mechi moja |
Nahodha wa Simba SC leo, Emmanuel Okwi akiinua Kombe la Nani Mtani Jembe baada ya kukabidhiwa na mgeni rasmi, Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo, Dk Fenella Mukangara |
Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo, Dk Fenella Mukangara akimkabidi mfano wa hundi Nahodha wa Simba SC, Emmanuel Okwi |
Rais wa TFF, Jamal Malinzi akimkabidhi mfano wa Nahodha wa Yanga SC, Haruna Niyonzima kulia |
0 comments:
Post a Comment