MTIBWA Sugar imelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Stand United katika mwendelezo wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara asubuhi ya leo Uwanja wa Manungu, Turiani, Morogoro. Mchezo huo ulivunjika dakika ya sita jana kutokana na mvua na ukaendelea asubuhi ya leo na timu hizo kufungana 1-1. Mtibwa inabaki kileleni mwa Ligi Kuu kwa kufikisha pointi 16 baada ya mechi nane, ikifuatiwa na Azam FC na Yanga zenye pointi 13 kila mmoja baada ya mechi saba, ambazo zinamenyana jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Uganda U17 Boys Face Kenya in Group A Finale
-
The Uganda U17 Boys National Team is bracing for one of the most pivotal
matches in their campaign as they take on familiar rivals Kenya in the
final Gro...
Lookman crowned African footballer of the year
-
The 2024 Confederation of African Football (CAF) Award took center stage on
Monday night, with the best talents in African football emerging winners.
The...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment