BARCELONA imepata ushindi wa 1-0 katika mchezo uliotawaliwa na undava baina ya wachezaji dhidi ya Valencia Uwanja wa Mestalla.
Shukrani kwake mfungaji wa bao hilo, Sergio Busquets dakika ya 90, kabla ya Lionel Messi kupigwa na chupa.
Awali, Neymar alimpiga kichwa kichwani Nicolas Otamendi baada ya beki huyo wa Argentina kuanza kumcheza ‘kindava’ Mbrazil huyo.
Otamendi alimchezea kibabe Neymar kwenye eneo la hatari, lakini alipokwenda kumuinamia kumuomba msamaha, alilambwa kichwa cha ‘kishikaji’ kabla ya wachezaji wa timu zote mbili kuanza kuzozana.
Lakini mchezaji huyo wa Barcelona hakuchukuliwa hatua yoyote na refa wa Hispania, David Fernandez.
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2855227/Neymar-appears-headbutt-Nicolas-Otamendi-Barcelona-star-challenged-Valencia-s-Argentine-defender-area.html#ixzz3KchTvCwZ
Shukrani kwake mfungaji wa bao hilo, Sergio Busquets dakika ya 90, kabla ya Lionel Messi kupigwa na chupa.
Awali, Neymar alimpiga kichwa kichwani Nicolas Otamendi baada ya beki huyo wa Argentina kuanza kumcheza ‘kindava’ Mbrazil huyo.
Otamendi alimchezea kibabe Neymar kwenye eneo la hatari, lakini alipokwenda kumuinamia kumuomba msamaha, alilambwa kichwa cha ‘kishikaji’ kabla ya wachezaji wa timu zote mbili kuanza kuzozana.
Lakini mchezaji huyo wa Barcelona hakuchukuliwa hatua yoyote na refa wa Hispania, David Fernandez.
Otamendi akienda chini baada ya kupigwa kichwa na Neymar
Otamendi alianza kwa kumkwatua Neymar kwenye eneo la hatari
0 comments:
Post a Comment