Mwanamitindo Matukio Chuma kulia akizungumza na wahandishi wa habari wakati wa kutangaza upeperushwaji wa bendera ya tanzania katika nchi ya mozambique fashion week ambayo mbunifu wa mavazi Manju Msita atashiriki na kupeperurusha bendera ya Tanzania kushoto ni mwanamitindo Vivian Williams ambaye anafanya shughuli zake za uwanamitindo nchini Barcelona nchini Hispania
Mbunifu wa Mavazi nchini Manju Msita katikati akiwa na wanamitindo anaefanya shughuli zake nchini Barcelona Spein Vivian Williams na Ieva Stropule anaeishi Ujerumani
Travis Kelce blasts claim he's not 'real fan' of MLB team after Taylor
Swift baseball date sparked outrage
-
Kelce, the NFL star who was born around 15 miles west of Cleveland,
attended the Guardians' MLB playoff clash with the Yankees in New York on
Monday alongs...
50 minutes ago
0 comments:
Post a Comment