MCHEZA mieleka wa kulipwa, CM Punk amesaini Mkataba wa kujiunga na UFC.
Tangazo hilo alilitoa jana usiku katika UFC 181 wakati Robbie Lawler akimpiga Johny Hendricks kwenye pambano lao la marudiano uzito wa Welter.
CM Punk, ambaye jina lake halisi ni Phil Brooks, hajawahi kupigana kwenye sanaa ya mapigano mchanganyiko na amesema wakati haupo upande wake.
Mchezaji mieleka wa kulipwa, CM Punk, ambaye jina lake halisi ni Phil Brooks (kushoto), amesaini UFC
CM Punk akimpeleka chini Mark Henry katika mechi yao ya awali ya WWE Jumatatu usiku ukumbi wa Night Raw Supershow
0 comments:
Post a Comment