// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); CISSE AIANGAMIZA CHELSEA, MOURINHO NYWIII!! - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE CISSE AIANGAMIZA CHELSEA, MOURINHO NYWIII!! - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, December 06, 2014

    CISSE AIANGAMIZA CHELSEA, MOURINHO NYWIII!!

    MABAO mawili ya Papiss Cisse yameipa ushindi wa 2-1 Newcastle dhidi ya vinara wa Ligi Kuu ya England, Chelsea katika mchezo uliofanyika Uwanja wa St James' Park jioni hii.
    Katika mchezo huo ambao Steven Taylor alitolewa nje zikiwa zimebaki dakika 10 baada ya kuonyeshwa kadi ya pili ya njano, kipigo hicho kinakuwa cha kwanza kwa timu ya Jose Mourinho katika Ligi Kuu msimu huu.
    Cisse alifunga bao la kwanza dakika ya 57 na la pili dakika ya 78 kabla ya mkongwe Didier Drogba kuifungia Chelsea bao la kufutia machozi dakika ya 83.
    Cisse gave Newcastle the lead in the 57th minute against the Premier League leaders at St James' Park
    Cisse gave Newcastle the lead in the 57th minute against the Premier League leaders at St James' Park
    Chelsea forward Costa is tackled by Newcastle's Paul Dummett and sent tumbling to the ground
    Costa snatches at a half-chance from a low cross by Willian as he smashes over the bar while under pressure from Steven Taylor

    PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/premierleague/article-2863445/Newcastle-2-1-Chelsea-Papiss-Cisse-scores-twice-Toon-end-Premier-League-leaders-unbeaten-start-season.html#ixzz3L8AOJyoZ 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: CISSE AIANGAMIZA CHELSEA, MOURINHO NYWIII!! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top