Kipa majeruhi wa Simba SC, Hussein Sharrif 'Casillas' anayepambana kuwa fiti tena, akijifua katika ufukwe wa Kigamboni, eneo la Ng'onda Beach, Dar es Salaam leo. |
Casillas aliumia Afrika Kusini Oktoba mwaka huu ambako Simba SC ilikuwa imeweka kambi kujiandaa na mechi na Yanga SC |
Kipa huyo wa zamani wa Mtibwa Sugar alichanika ugoko baada ya kukanyagwa na kiatu cha mchezaji wa Orlando Pirates katika mchezo wa kirafiki |
Casillas kwa sasa anajifua vikali ili mapema mwakani arudi uwanjani |
Casillas akifanya mazoezi ya nguvu ufukwe wa Ng'onda
|
0 comments:
Post a Comment