BEKI Aurelien Chedjou (pichani kushoto) ameitwa kwenye kikosi cha Cameroon jana baada ya kutoitwa kwa miezi sita ili akazibe pengo la Brice Nlate kuelekea Fainali za Mataifa ya Afrika mwakani. Chedjou hajaichezea nchi yake tangu Kombe la Dunia mwaka huu, lakini kuumia goti kwa Nlate katika ajali ya gari kiasi cha kutoweza kushiriki michuano hiyo ya timu 16 Equatorial Guinea kuanzia Januari 17 kunamrudisha kikosini. Chedjou mwenye umri wa miaka 29, anayechezea Galatasaray ya Uturuki, ni miongoni mwa wachezaji wakongwe ambao muda wao kuichezea timu ya taifa ulionekana kupita, baada ya Cameroon kufungwa mechi zote tatu za kundi lake kwenye Kombe la Dunia Brazil.
Uganda U17 Boys Face Kenya in Group A Finale
-
The Uganda U17 Boys National Team is bracing for one of the most pivotal
matches in their campaign as they take on familiar rivals Kenya in the
final Gro...
Lookman crowned African footballer of the year
-
The 2024 Confederation of African Football (CAF) Award took center stage on
Monday night, with the best talents in African football emerging winners.
The...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment