// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); AZAM FC NA MTIBWA SUGAR KATIKA PICHA USIKU WA JANA CHAMAZI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE AZAM FC NA MTIBWA SUGAR KATIKA PICHA USIKU WA JANA CHAMAZI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Wednesday, December 10, 2014

    AZAM FC NA MTIBWA SUGAR KATIKA PICHA USIKU WA JANA CHAMAZI

    Mshambuliaji wa Azam FC, KIpre Tchetche akimiliki mpira pembeni ya beki wa Mtibwa Sugar Majaliwa Shaaban katika mchezo wa kirafiki usiku wa jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Azam FC ilishinda 3-1
    Kiungo wa Azam FC, Farid Mussa kulia akimtoka mchezaji wa Mtibwa Sugar, Ally Shomary
    Beki wa Azam FC, Shomary Kapombe akktafuta mbinu za kumtoka beki wa Mtibwa, Patrick Athanas
    Mshambuliaji wa Mtibwa, Himid Mao akiwania mpira wa juu dhidi ya Himid Mao wa Azam
    Kiungo wa Mtibwa Sugar, Jamal Mnyate akimtoka kiungo wa Azam FC, Mudathir Yahya
    Beki wa Mtibwa Sugar, Majaliwa Shaaban akiwa amepiga mpira kichwa kujaribu kufunga, lakini bekki wa Azam FC, Aggrey Morris akaokoa

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AZAM FC NA MTIBWA SUGAR KATIKA PICHA USIKU WA JANA CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top