
Wednesday, December 31, 2014

Na Vincent Malouda, NAIROBI KOCHA Muingereza Tim Bryett ndiye mkufunzi mpya wa klabu ya ligi kuu ya taifa la Kenya, Thika United. Bryett ...
SC VILLA WAIKACHA YANGA SC KOMBE LA MAPINDUZI
Wednesday, December 31, 2014
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM SC Villa ya Uganda imejitoa kwenye michuano ya Kombe la Mapinduzi na Yanga SC wanajikuta katika kundi ‘n...
CHELSEA KUMUUZA UJERUMANI HAZARD PAUNI MILIONI 6.3
Wednesday, December 31, 2014
KLABU ya Borrusia Monchengladbach imetoa ofa ya Pauni Milioni 6.3 kwa ajili ya kumnunua winga wa Chelsea, Thorgan Hazard. Kinda huyo wa ...
PLUIJM AMTABIRIA MEMA HAMISI KIIZA
Wednesday, December 31, 2014
Na Prince Akbar, DAR ES SALAAM ALIYEKUWA mshambuliaji wa Yanga Hamis Kiiza juzi alitua nchini kumalizana jumla na uongozi wa timu hiyo na ...
WENGER ANAKABILIWA NA TATIZO LA WASHAMBULIAJI KUELEKEA MECHI NA SOUTHAMPTON KESHO
Wednesday, December 31, 2014
KOCHA Arsene Wenger anakabiliwa na tatizo la washambuliaji kuelekea mechi dhidi ya Southampton kesho, kufuatia Danny Welbeck kupata maujib...
EL SHAARAWYB APIGA MBILI MILAN IKIIFUMUA 4-2 REAL MADRID DUBAI
Wednesday, December 31, 2014
TIMU ya Real Madrid imefungwa mabao 4-2 na AC Milan katika mchezo wa kirafiki Dubai uliochezwa katika mapumziko ya majira ya baridi. Jer...
KOCHA MPYA SIMBA ASEMA; “YANGA WAPO KWENYE KIGANJA CHA MKONO WANGU”
Wednesday, December 31, 2014
Na Princess Asia, DAR ES SALAAM MSERBIA Goran Kopunovic amesema kwamba anawajua sana Yanga SC na hakuja Simba SC kutalii, bali amekuja kuf...
CHEKA KUZIPIGA NA KING CLASS MAWE FEBRUARI 28 MANZESE
Wednesday, December 31, 2014
Mabondia Cossmas Cheka (kushoto) na Ibrahim Class 'King Class Mawe' wakati wa utambulisho wa mpambano wao wa kuwania ubingwa wa ...
KOCHA MPYA SIMBA SIMBA SC AWASILI DAR
Wednesday, December 31, 2014
Kocha mpya wa Simba SC, Mserbia Goran Kopunovic akizungumza na Waandishi wa Habari Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, Dar es Salaam (JNIA...
TORRES AANZA KAZI ATLETICO MADRID, KUIVAA REAL JANUARI 7 KOMBE LA MFALME
Wednesday, December 31, 2014
MSHAMBULIAJI Fernando Torres jana amefanya mazoezi kwa mara ya kwanza tangu arejee Atletico Madrid. Mpachika mabao huyo amnaye nyota yak...
MAMBO YA MBEYA CITY NA RB BATTERY KIULAYA ULAYA
Wednesday, December 31, 2014
Mtoto wa Mkurugenzi wa kampuni ya Bin Slum Tyres Limited, Nassor Bin Slum aitwaye Abdulwahab akifurahia na sweta na kofia ya timu ya Mbey...
DROGBA ATEMWA KIKOSI CHA IVORY COAST MATAIFA YA AFRIKA
Wednesday, December 31, 2014
Na Mwandishi Wetu, ABIDJAN KOCHA wa Ivory Coast, Herve Renard ametaja kikosi chake cha mwisho cha wachezaji 23 kitakachosafiri kwenda kw...
CAMEROON YAZIBA KIRAKA KIKOSI CHA AFCON
Wednesday, December 31, 2014
BEKI Aurelien Chedjou (pichani kushoto) ameitwa kwenye kikosi cha Cameroon jana baada ya kutoitwa kwa miezi sita ili akazibe pengo la...
VIONGOZI SIMBA SC SASA WAJITATHMINI NA WAO WENYEWE
Wednesday, December 31, 2014
KATIKA kipindi cha nusu mwaka tangu uongozi wa Simba SC kuwa madarakani chini ya Rais, Evans Elieza Aveva kocha wa tatu anatarajiwa kuanza ...
Tuesday, December 30, 2014
NYOTA AJAX ATEMWA BAFANA KIKOSI CHA AFCON
Tuesday, December 30, 2014
Na Mwandishi Wetu, JOHANNESBURG NYOTA wa Ajax Amsterdam, Thulani Serero ameachwa katika kikosi cha mwisho cha wachezaji 23 wa Bafana Bafan...
KOCHA GUINEA AMBEBA MTUKUTU CONSTANT KIKOSI CHA AFCON
Tuesday, December 30, 2014
Na Mwandishi Wetu, GUINEA KOCHA wa Guinea, Michel Dussuyer amemchukua Kevin Constant katika kikosi chake cha mwisho cha wachezaji 23 kwa a...
TEARGAS’ AREJEA GOR MAHIA; SABA WATEMWA
Tuesday, December 30, 2014
Na Vincent Malouda, NAIROBI ALIYEKUWA kiungo wa Gor Mahia Victor Ali Hassan Abondo maarufu kama ‘Teargas’ (pichani kushoto) miongoni mwa...
SIMBA SC NA MTIBWA SUGAR KUFUNGUA DIMBA KOMBE LA MAPINDZI ALHAMISI, AZAM NA KCC, YANGA NA SC VILLA
Tuesday, December 30, 2014
Na Salum Vuai, ZANZIBAR SIMBA SC na Mtibwa Sugar, keshokutwa wanatarajiwa kukata utepe wa michuano ya Kombe la Mapinduzi 2015 uwanja wa ...
MAREFA 18 WAPATA BEJI ZA FIFA
Tuesday, December 30, 2014
Na Boniface Wambura, DAR ES SALAAM WAAMUZI 18 wa Tanzania wamepata beji za uamuzi za Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) kwa ...
AL AHLY WAALIKWA KOMBE LA MAPINDUZI, KCCA NA ULINZI YA KENYA NAZO ZAJA
Tuesday, December 30, 2014
Na Mwandishi Wetu, ZANZIBAR MABINGWA wa Kombe la Shirikisho la Soka Afrika mwaka 2014/2015 Al Ahly ya Misri, ni miongoni mwa timu mashuhur...
NTAGWABILA: NIKO TAYARI KUFANYA KAZI NA GORAN SIMBA SC
Tuesday, December 30, 2014
Na Mwandishi Wetu, KIGALI KOCHA Jean Marie Ntagwabila amesema kwamba yuko tayari kuwa Msaidizi wa Mserbia, Goran Kopunovic katika klabu ya...
BRANDTS ALIYEFUKUZWA YANGA SC SASA ANAFUNDISHA KLABU YA LIGI KUU UHOLANZI
Tuesday, December 30, 2014
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM ALIYEKUWA kocha wa Yanga SC, Mholanzi Ernstus ‘Ernie’ Wilhelmus Johannes Brandts sasa anafundisha FC D...
PSPF KUWAKUTANISHA WACHEZAJI WA ZAMANI WA YANGA NA SIMBA
Tuesday, December 30, 2014
Na Abdul Njaidi, DAR ES SALAAM MFUKO wa Pensheni wa PSPF umedhamini mchezo wa kirafki utakaowakutanisha wachezaji waliowahi kuwika katika ...
MAPINDUZI ‘YAISULUBU’ LIGI KUU BARA, MECHI ZA SIMBA, YANGA, AZAM ZAPIGWA ‘STOP’ VIKOSI VIENDE ZANZIBAR
Tuesday, December 30, 2014
Na Prince Akbar, DAR ES SALAAM SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limeahirisha mechi mbili za kila timu Azam FC, Mtibwa Sugar, Simba na Yan...
LIVERPOOL YAICHAPA SWANSEA 4-1 ENGLAND
Tuesday, December 30, 2014
TIMU ya Liverpool imeibuka na ushindi mnono wa mabao 4-1 dhidi ya Swansea usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Anfield katika mchezo wa Ligi Ku...
Subscribe to:
Posts (Atom)